Habari

  • news image

    MADENI YA MWAKA!!

    Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji inawajulisha Wataalam wote wa mipangomiji ambao ni waajiriwa serikalini na wamelimbikiza madeni yao ya ada za mwaka kuhakikisha wanalipa madeni yao kabla ya tarehe 30/09/2024

    Aug 19, 2024 Soma zaidi
  • news image

    Kuzinduliwa kwa Mfumo Mpya wa Ulipiaji: TPRB Billing System - Sasa Huduma Zetu Zinafikika Kwa Urahisi Zaidi!

    Kupitia TPRB Billing System, sasa utaweza kulipa huduma zako za Bodi kwa njia ya haraka, salama, na bila usumbufu. Hii ni fursa ya kipekee ya kufurahia mchakato wa ulipaji uliojengwa kwa teknolojia ya kisasa, ikikidhi mahitaji yako ya kila siku.

    Apr 17, 2024 Soma zaidi