Dira na Dhima

Dira

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipango Miji ina lengo la kuwa na taaluma iliyojithatititi miongoni mwa wataalam na makampuni yanayotoa huduma za upangaji wa miji.

Dhima

Kuboresha viwango na ubora wa mipango miji katika nchi.