TANGAZO LA KUSAJILI WATAALAM WA MIPANGOMIJI NA KAMPUNI ZA UPANGAJI MIJI

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji inawatangazia

Watalaam wa Mipangomiji wote wenye sifa ya kusajiliwa na

bado hawajasajiliwa kuwa Bodi inategemea kufanya kikao cha

kusajili watalaam wa Mipamgomiji na Kampuni za Upangaji Miji

mwanzoni mwa mwezi Julai, 2024.

Bodi inapokea maombi kwa ajili ya usajili, mwisho wa kupokea

maombi hayo ni siku ya Jumanne tarehe 02/07/2024, maombi

yote yawasilishwe Ofisi ya Msajili, S. L. P. 1150, 41102

DODOMA. Simu: +255 (026) 232 3833, +255 739 504 222.

Kwa taarifa zaidi ingia kwenye tuvuti ya Bodi ya Usajili wa

Watalaam wa Mipangomiji- www.tprb.go.tz

Limetolewa na:

TP. Lucas A.Mwaisaka

MSAJILI

BODI YA USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGOMIJI

06/06/2024