Habari
-
TANGAZO KWA MAAFISA MIPANGOMIJI MAANDIKO YA MADA ZA MKUTNO MKUU WA 11 WA MWAKA WA MAAFISA MIPANGOMIJI
Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipangomiji inawakaribisha Wataalamu wa Mipangomiji wenye nia ya kuwasilisha mada katika mkutano mkuu wa mwaka wa Wataalamu wa Mipangomiji, kuwasilisha maandiko (papers) zitakazowasilishwa katika Mkutano huo utakaofanyika kuanzia tarehe 28 hadi 30 Oktoba 2026, Jijini Arusha.
Aug 28, 2026 Soma zaidi -
WATUMISHI WA TPRB WAJENGEWA UWEZO KUHUSU UANDAAJI WA VIHATARISHI NA MFUMO WA GERMIS
Watumishi wa Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) wamepewa mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu uandaaji wa vihatarishi pamoja na mfumo wa kusajili vihatarishi (GERMIS)
Aug 14, 2026 Soma zaidi -
WATAALAMU MIPANGOMIJI WATAKIWA KUTOA MAPENDEKEZO MAREJEO SERA YA MAENDELEO YA MAKAZI
Wataalamu wa mipangomiji nchini wametakiwa kushiriki katika mchakato wa marejeo ya Sera ya Maendeleo ya Makazi ya mwaka 2000 ili kuhakikisha sera mpya inakidhi mahitaji ya sasa na kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya makazi.
Jun 17, 2026 Soma zaidi -
​WAKURUGENZI WA KAMPUNI ZA MIPANGOMIJI WAISHUKURU TPRB KWA KUWAJENGEA UWEZO
Wakurugenzi wa kampuni za mipangomiji zilizosajiliwa Tanzania Bara wameishukuru Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) kwa kuwapa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika kuboresha utendaji wao wa kazi na kuongeza ufanisi katika sekta ya mipangomiji nchini.
Apr 21, 2026 Soma zaidi -
RAIS WA TITP AIPONGEZA TPRB KWA KUWAJENGEA UWEZO WAKURUGENZI WA KAMPUNI ZA MIPANGOMIJI
Rais wa Chama cha Wataalam wa Mipangomiji Tanzania (TITP), Dkt. Juma Matindana, ameipongeza Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) kwa kuandaa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wakurugenzi wa kampuni za mipangomiji zilizosajiliwa Tanzania Bara.
Apr 21, 2026 Soma zaidi -
TPRB YATOA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAKURUGENZI WA KAMPUNI ZA MIPANGOMIJI TANZANIA BARA
Wakurugenzi wa kampuni za mipangomiji zilizosajiliwa Tanzania Bara wamepatiwa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika kuboresha utendaji wao wa kazi na kuongeza ufanisi katika sekta ya mipangomiji nchini.
Apr 21, 2026 Soma zaidi


