TPRB YAFANYA KIKAO CHA 45

News Image Oct, 24 2025

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) imefanya kikao chake cha Robo ya Kwanza cha Mwaka wa Fedha 2025/2026.

Katika kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, TP. Profesa John Lupala kilichoketi Alhamisi Oktoba 23, 2023 katika ukumbi wa Ofisi za TPRB zilizoko Mji wa Serikali Mtumba, kimepokea na kujadili taarifa mbalimbali.