Annual Fee Payment Notice

Wataalam wote wa Mipangomiji waliosajiliwa wanaodaiwa wametumiwa Notisi za kudaiwa Ada ya kila mwaka.

Hivyo tunawakumbusha kulipa kwa wakati ili kuepuka faini ya 20% ya kila mwezi au au kufutiwa Usajili