Kupata Cheti na Muhuri baada ya Kusajiliwa

Baada ya kuthibitishwa kuwa umefaulu Usaili wa kusajiliwa na matokeo yako kuthibitishwa na Bodi, utajulishwa kwa barua, na ili kukamilisha usajili wako utatakiwa kulipia Ada ya Mwaka na kulipia gharama za Muhuri.