-min_formphotoeditor.com.jpg)
AGM - 9
Mkutano Mkuu wa Tisa wa Wataalam wa Mipangomiji

Ukaribisho wa Mheshimiwa Waziri Ndenjembi
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi akipokea ua mara baada ya kuwasili makao makuu ya wizara eneo la Mtumba jijini Dodoma tarehe 27 Julai 2024. Katikati ni Naibu Waziri Mhe. Geofrey Pinda.

Mafunzo Endelevu ya Kitaaluma - Arusha
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TP. Dkt. Regina John akiwa CPD, aliyekaa ni RC Bw. John Mongella

Mafunzo Endelevu ya Kitaaluma - Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. John Mongella pamoja na Msajili TP. Lucas Mwaisaka wakiwa na Menejimenti ya TPRB kwenye Mafunzo Endelevu ya Kitaaluma (CPD) iliyofanyika Arusha

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Mizengo Pinda katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa nane (8) Dodoma
AGM-8
UZINDUZI WA BODI MPYA YA WAKURUGENZI
Kutoka Kushoto: Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi TP. Prof. Ally Namangaya na Katibu wa Bodi, Msajili TP. Lucas Mwaisaka, Jan 2023

UZINDUZI WA BODI MPYA YA WAKURUGENZI, 26 JANUARI 2023
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TP. Prof. John Modestus Lupala
Habari Mpya
-
TANGAZO LA KUSAJILI WATAALAM WA MIPANGOMIJI NA KAMPUNI ZA UPANGAJIMIJI
Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji inawatangazia Watalaam wa Mipangomiji wote wenye sifa ya kusajiliwa na ambao bado hawajasajiliwa kuwa Bodi inategemea kufanya kikao cha kusajili watalaam wa Mipangomiji na Kampuni za Upangaji Miji mwishoni mwa mwezi Januari, 2025.
Jan 04,2025 Soma zaidi -
Msajili wa TPRB akizungumza na waandishi wa habari kuhusu AGM - 9
Dec 05,2024 Soma zaidi -
Mada zilizowasilishwa kwenye AGM - 9
Dec 05,2024 Soma zaidi
Soma Habari zaidi
Matukio
-
Dec 2024
-
May 2024
-
Jun 2023
-
Mar 2023
Matukio Zaidi