UHAKIKI WA TAARIFA ZA WATAALAM WA MIPANGO MIJI NA MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA

Kuna zoezi la uhakiki wa taarifa linaendelea kwa Wataalam wa Mipango Miji na Makampuni yaliyosajiliwa na Bodi. Hivyo tunaomba ushirikiano wenu Wataalam wote pindi mnapopigiwa simu.

Msajili.

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipango Miji.