Wataalam wa mipango miji mnakumbushwa kulipa ada ya mwaka

Wataalam wa mipango miji mnakumbushwa kulipa ada ya mwaka. Kushindwa kulipa ada ya kila mwaka kwa wakati, Asilimia 20% ya ada inayohitajika itatozwa kila mwezi