Tangazo la Usajili Wa Wataalam wa MipangoMiji na Makampuni

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

BODI YA USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGOMIJI

TANGAZO LA KUSAJILI WATAALAMWA MIPANGOMIJI NA KAMPUNI ZA UPANGAJI MIJI

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji inawatangazia Watalaam wa Mipangomiji wote ambao wana sifa ya kusajiliwa na bado hawajasajiliwa kuwa Bodi inategemea kufanya kikao cha kusajili watalaam wa Mipamgomiji na Kampuni za Upangaji Miji mwisho ni mwa mwezi Oktoba, 2023. Hivyo bodi inapokea maombi kwa ajili ya usajili, mwisho wakupokea maombi ni tarehe 15/10/2023. Maombi yote yawasilishwe kwa Msajili, S. L. P. 1150, 41102 DODOMA. Simu: +255 (026) 232 3833, +255 739 504 222, Baruapepe: registrar@tprb.go.tz

Aidha Tangazo hili linapatikana kwenye tovuti ya Bodi ya Usajili wa Watalaam wa Mipangomiji-www.tprb.go.tz

Limetolewana:

TP. Lucas Mwaisaka

MSAJILI

BODI YA USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGOMIJI

11/09/2023