Jinsi Wataalam wa Mipango Miji wanavyotakiwa kuomba kusajiliwa

Masharti:

-Lazima uwe na Shahada ya kwanza ya taaluma ya upangaji wa Mji

-Lazima uwe na uzoefu wa kufanya kazi zaidi ya miaka 3 kwenye taaluma hiyo.

Taratibu:

-Jaza fomu ya Usajili na uweke pesa kwenye Benki, Namba ya Akaunti ya Bodi ni 20101000085 - Benki ya NMB.

-Tuma au ambatisha nyaraka zinazohitajika.

-Tumia namba ya Udhibiti uliyopewa na Mhasibu wa Bodi, Jina la Taasisi ni Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipango Miji.