MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAKURUGENZI WA KAMPUNI ZA MIPANGOMIJI TANZANIA BARA

  download
Mahali: MIRAMONTI HOTEL
Tarehe: 2026-04-14 - 2026-04-14
Muda: 8:00 am - 10:00 pm

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji (TPRB) inawaalika Wakurugenzi wa Kampuni za Mipangomiji zilizosajiliwa, kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yatakayofanyika jijini Dar es Salaam Aprili 14, 2026