USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGO MIJI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI

BODI YA USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGOMIJI

TANGAZO LA KUSAJILI WATAALAM WA MIPANGOMIJI

Bodi ya Usajili wa Wataalam wa Mipangomiji inawatangazia Watalaam wa Mipangomiji wote ambao wanasifa ya kusajiliwa na bado hawajasajiliwa kuwa Bodi inategemea kufanya kikao cha kusajili watalaam wa Mipamgomiji mwishoni mwa mwezi Mei 2023. Hivyo bodi inapokea maombi kwa ajili ya usajili,mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/05/2023. Maombi yote yawasilishwe kwa Msajili, S. L. P. 1150, 41102 DODOMA. Simu: +255 (026) 232 3833, +255 739 504 222, Barua pepe: registrar@tprb.go.tz

Limetolewa na:

TP Lucas Mwaisaka

MSAJILI

BODI YA USAJILI WA WATAALAM WA MIPANGOMIJI

20/04/2023