​Jinsi ya Wataalamu wa Mipangomiji wanavyotakiwa kuomba kusajiliwa

Wataalamu wa mipangomiji wanatakiwa kusajiliwa ili kufanya kazoi kwa weledi ulio tukuka.

Masharti

  • Awe na shahada ya Mipangomiji
  • Awe amefanyakazi kwa miaka mitatu katika fani hiyo.

Taratibu

  • Kujaza fomu na kulipia Benki katika Akaunti ya Bodi gharama za kuomba kusajiliwa
  • Kuwasilisha au kuambatanisha nyaraka zinazohitajika katika kuomba Usajili.
  • Akaunti Namba 20101000085, Benki ni NMB, kwa kutumia Control namba utakayopewa na Mhasibu wa Bodi kwa Jina la Taasisi ni Town Planners Registration Board.